Saturday, 20 September 2014

CAMERA YETU KWA MNEC WA MISENYE DEPSON BALYAGATI NYUMBANI KWAKE BOKO DAR,UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UFUGAJI HAVIPA KIPAUMBELE.

 Unaposikia jina la Balyagati kwa Mkoa wa Kagera kila mmoja atajenga hisia tofauti kwa namna anavyomfahamu,Wapo watakaokueleza ni mfanyabiashara mkubwa , Wapo watakao kueleza kuwa aliwahi kugombea ubunge katika majimbo ya Bukoba mjini na Misenye,kwa sasa Mh Depson  Balyagati ni mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm Taifa akiwakilisha wilaya ya Misenye Mkoa wa Kagera.Camera yetu ilipata fursa ya kumtembelea nyumbani kwake jijini Dar Mbezi maeneo ya Boko.Unapofika katika maeneo hayo utakutana na miti mizuri iliyotapakaa kila eneo na kuleta hewa safi,lakini kilimo cha mazao mbalimbali kikiendelea kama mahindi, ndizi, mbogamboga nk. Na ufugaji pia.
 Ni picha ya Mh Balyagati akiwa na mkewe
 Mazingira ya mjengo
 Ni miti mizuri iliyopandwa kwenye mazingira
 Eneo ni kubwa na maeneo mengi zimejengwa apartment na kufanya muonekano kupendeza
 Ni staili tu ya namna nyasi zilivyopandwa kitaalamu
 Kitu swimming pool
 Maeneo ya garden
 Maeneo ya ndani ya mjengo
 Sehemu ya ndani,hakuna mambo mengi
 Eneo la nyumba kwa juu ndani
 Picha za Wajukuu
 Camera yetu na wadau wa blog hii kushoto bi Dee akiwa na mama yake mdogo
 With a big smile
 Ni maeneo ya kilimo cha mahindi na migomba,kama Bukoba vile
 Ufugaji wa kuku
 Kiti moto
Kiongozi ni mfano,hongera Mama Balyagati kwa kusimamia yote haya.

Thursday, 18 September 2014

MR & MRS VICTOR ALCARD MWOMBEKI WAANDAA CHAKULA CHA JIONI NYUMBANI KWAO MBEZI , KUAGANA NA NDUGU WALIOTOKA BUKOBA KUSHIRIKI HARUSI YAO.

 Ni Bw Victor akiwa nyumbani kwake Mbezi akiongea na ndugu waliotoka Bukoba kuja Dar kuhudhuria harusi yake iliyofanyika 13-9-2014.Baada ya pilika kubwa na ya aina yake aliandaa chakula cha jioni kwa nia moja tu ya kutoa shukrani zake za dhati kwa ndugu ambao walifika na kuacha shughuri zao kushiriki harusi yao.
 Ni mjengo wa Mr Victor na mkewe
 Maisha yanaendelea
 Watu wakipata kumbukumbu maeneo tofauti
 Ndugu wakfurahia
 Wazee wakitafakari,kila mtu na swali lake akilini mwake
 Shukrani zikiendelea
 Ikachezwa ngoma ya kihaya
 Chakula time
 Watu walipata fursa na wakaitumia ipaswavyo
Ilikuwa ni shidaaaah