Thursday 18 September 2014

HALI YA MA PETRONIDA BAYONA YAZIDI KUBOREKA,CAMERA YETU YAMTEMBELEA NYUMBANI OSTERBAY DAR

 Camera yetu iligonga hodi maeneo ya osterbay jijini Dar kumjulia hali mjane wa marehemu George Bayona Ma Petronioda Bayona ambae takribani mwaka mmoja na miezi tisa alitoka Bukoba kuja kutibiwa Dar,kwa sasa hali yake inaendelea vizuri.
 Mwanalibeneke wa Jamcoblog sambamba na Ma Petronida Bayona
 Kulia alie simama ni Mary Bayona Lwakabare,Jamal kalumuna na Ma Petronida
 Mary Bayona Lwakabare katika Pozz
 Kushoto Amidu akiwa na Mbezi Lwakabare mjukuu wa Ma Petronida
 Elvin Lwakabare akiwa na Bibi yake
Mungu akupe afya njema Bibi yetu Ma Petronida Bayona

No comments:

Post a Comment