Unaposikia jina la Balyagati kwa Mkoa wa Kagera kila mmoja atajenga hisia tofauti kwa namna anavyomfahamu,Wapo watakaokueleza ni mfanyabiashara mkubwa , Wapo watakao kueleza kuwa aliwahi kugombea ubunge katika majimbo ya Bukoba mjini na Misenye,kwa sasa Mh Depson Balyagati ni mjumbe wa Halmashauri kuu ya ccm Taifa akiwakilisha wilaya ya Misenye Mkoa wa Kagera.Camera yetu ilipata fursa ya kumtembelea nyumbani kwake jijini Dar Mbezi maeneo ya Boko.Unapofika katika maeneo hayo utakutana na miti mizuri iliyotapakaa kila eneo na kuleta hewa safi,lakini kilimo cha mazao mbalimbali kikiendelea kama mahindi, ndizi, mbogamboga nk. Na ufugaji pia.
Ni picha ya Mh Balyagati akiwa na mkewe
Mazingira ya mjengo
Ni miti mizuri iliyopandwa kwenye mazingira
Eneo ni kubwa na maeneo mengi zimejengwa apartment na kufanya muonekano kupendeza
Ni staili tu ya namna nyasi zilivyopandwa kitaalamu
Kitu swimming pool
Maeneo ya garden
Maeneo ya ndani ya mjengo
Sehemu ya ndani,hakuna mambo mengi
Eneo la nyumba kwa juu ndani
Picha za Wajukuu
Camera yetu na wadau wa blog hii kushoto bi Dee akiwa na mama yake mdogo
With a big smile
Ni maeneo ya kilimo cha mahindi na migomba,kama Bukoba vile
Ufugaji wa kuku
Kiti moto
Kiongozi ni mfano,hongera Mama Balyagati kwa kusimamia yote haya.
No comments:
Post a Comment