Tuesday 5 July 2016

MTOTO HELLEN BYERA JANUARY APATA UBATIZO,MISA TAKATIFU YAFANYIKA NYAMKAZI BUKOBA.

 Mtoto Hellen Byera January amepata ubatizo,katika picha kulia ni  mama wa mtoto Yollande Julius January, baba wa mtoto January Gabriel, Baba paroko, mama wa ubatizo, babu na bibi upande wa mama  Hellen.
  Nyumbani ilipofanyika misa ya ubatizo.
 Mtoto Hellen aliepata ubatizo.
 Kushoto   Bw Jamal Kalumuna akiwa na Bw January Gabriel.
 Ibada ya misa .
 Wakakumbushia siku ya ndoa.
Jamcobukoba .blogspot.com inamtakia maisha mema Hellen na familia kwa ujumla.