Monday 4 July 2016

SABASABA YAPAMBA MOTO VIWANJA VYA CCM BUKOBA.

 Nkatika maonyesho ya sabasaba yanayoendelea katika Manispaa ya Bukoba,wanachi mbalimbali wanafika kuangalia na kununua mahitaji mbalimbali,(katika picha ni majiko ya kisasa ).
 Hali iko hivyo msongamano wa watu unaongezeka kadri siku zinavyoendelea, kuna makampuni mbalimbali ya simu yakiendelea na promotion mbalimbali.
 Bw Katoma akiwa na gari lake aina ya Noha akiuza aina mbalimbali ya simu zenye ubora unaotakiwa.
 Bw DEO mmoja wa wakurugenzi ya kampuni inayoandaa maonyesho ya sabasaba akichukua matukio.
 Banda la Mkombozi benki.


Karibuni sabasaba.

No comments:

Post a Comment