Monday 4 July 2016

MZIGO MPYA PUNGUZO KWA AJILI YA IDD KARIBU KWA MAMA VYOMBO, MTAA WA MIGEYO BUKOBA.

 Ni duka lenye sifa kubwa ya uuzaji wa vyombo imara, vizuri na orginal kwa mkoa wa kagera, Duka hili si lingine ni mama vyombo shop, lipo mtaa wa migeyo  karibu na duka la vifaa vya ujenzi la simba,Duka hili linamilikiwa na mwanamama mahili na makini katika biashara hii ya vyombo kwa miaka kadhaa sasa na kupelekea wateja wake kumuita mama vyombo ila jina halisi ni Bi Gode Mtawala.Fika dukani kwake utajipatia kila aina ya chombo unachokijua na usichokijua, kaleta mzigo mpya na punguzo kwa waajili ya  sikukuu ya IDD.
 Karibu kwa mama vyombo Migeyo.
 Bakuli, grass, vijiko  nk.

Vikombe, sahani za kisasa pembe nne style, sugar dish nk. karibu kwa mama vyombo, mtaa wa migeyo, karibu na duka la Simba la vifaa vya ujenzi.

No comments:

Post a Comment