Monday 4 July 2016

WAKUU WA WILAYA MKOA WA KAGERA WAAPA,MKUU WA MKOA AWATAKA KWENDA SAMBAMBA NA HAPA KAZI TU, KWA UADILIFU KUTATUA MATATIZO YA WANANCHI

 Mkuu wa Mkoa wa Kagera  Gen mstaafu Salum Kijuu amewaapisha wakuu wa wilaya wa mkoa wa Kagera na kuwataka kufanya kazi kwa uadilifu na uaminifu mkubwa na kuakikisha wana kwenda sambamba na kauli mbiu ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John pombe Magufuli  HAPA KAZI TU kwa kufuata sheria na kuwatumikia wananchi kwa haki ili kuwaondolea matatizo yanayowakabili.
 Jengo la ofisi ya mkuu wa mkoa.
 Waandishi wa habari wakisubiri tukio la kuapisha wakuu wa wilaya.
 Shehe wa mkoa wa kagera Haruna Kichwabuta akiteta na katibu wa ccm Bukoba mjini Bw Mwadalu.
 Kamati ya ulinzi na usala kagera.
 RCO Kagera.
 Waandishi wa habari vyombo mbalimbali.
 Wakuu wa wilaya wateule.
 Mstahiki meya Manispaa ya Bukoba Chief Kalumuna.
 Afisa utumishi mkoa wa kagera akiendesha ratiba.
 Katibu tawala mkoa wa kagera akitambulisha makundi mbalimbali ya wageni waalikwa.
 Shekhe wa mkoa akisoma dua ya kuanza rasmi shughuli ya kuapisha wakuu wa wilaya.

 Kiongozi wa dini dhehebu la Authodox akisoma dua.

 Mkuu wa wilaya ya Bukoba Deodatus Lucas Kinawiro akipokea vitendea kazi baada ya kuapa. kutoka kwa mkuu wa mkoa kagera
 Mkuu wa wilaya ya  Karagwe Godfrey Ayub Mheluka akiapa.
 Mkuu wa wilaya ya Missenye LT .COL .Denis Filangali Mwila akiapa.
  Mkuu wa wilaya ya Kyerwa  COL  mstaafu Shaban Ilangu Lissu akiapa.
 Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Saada Ibrahim Malunde akiapa.
Mkuu wa wilaya ya Ngara LT. COL. Michael pa.Mangwela Mntenjele akiapa.
 Mkuu wa wilaya ya Muleba  Richard Henry Ruyango akiapa.
 Mkuu wa mkoa akitoa neno baada ya kuapisha wakuu wa wilaya.
 Waandishi , kikazi zaidi.

No comments:

Post a Comment