Thursday, 5 June 2014

AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA


 Nyoka aina ya chatu aliyetolewa nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Joseph Magesse akivutwa na wananchi kuelekea kwenye kanisa katoliki la karsamatiki eneo la Sakina jijini Arusha ambapo aliuawa kwa kucharangwa na shoka na wananchi wenye hasina na imani hizo za kishirikina
 ​​Kijana akiwa amembeba nyoka baada ya kucharangwa kwa mapanga akitoka naye nje ya uzio wa kanisa hilo
umati wa watu waliofika kushudia tukio hilo

 Nyumba yamfanyabishara ambapo alikutwa nyoka huyo na chini ni sehemu ya magari ya mfanyabiashra huyo
Kitambaa chenye maandishi ya kiarabu alichokutwa nacho nyoka huyokikiwa mbele ya geti la nyumba ya mfanyabiashara huyo

Wednesday, 4 June 2014

HII SI YA KUKOSA NA NI KWA MARA YA KWANZA INAFANYIKA BUKOBA,WALKGARD HOTEL KASHURA 21-6-2014

NI KAMPUNI YA BURUDANI IBRACADABRA ENTERRTAINMENT LTD IMEKUANDALIA BONGE LA POOL PARTY 21 JUNE 2014 KATIKA HOTEL YA WALKGARD KASHURA KUANZIA SAA 4.00 ASUBUHI, HII SI YA KUKOSA MTU WANGU.

KITUO CHA MWENGE CHAENDELEA KUBOMOLEWA, ABIRIA WASOTA KUKOSA USAFIRI ASUBUHI





Vijana wakiendelea kubomoa Kituo cha Daladala cha Mwenge...
 
Abiria wakitembea kwa miguu asubuhi ya leo kwa kukosa usafiri kama walivyozoea katika kituo cha Mwenge....
 Muonekano baada ya kubomolewa mabanda kibao yaliyokuwa yakikizunguka kituo hicho.
 Zoezi likiendelea...
Ubomoaji ukiendelea....

Tuesday, 3 June 2014

BAADA YA UPANUZI NA UKARABATI WA DUKA SASA SADATI BOTIQUE AMEWALETEA MZIGO MPYA KWA AJILI YA WABABA NA WAMAMA





Vijana wakiendelea kubomoa Kituo cha Daladala cha Mwenge...
 
Abiria wakitembea kwa miguu asubuhi ya leo kwa kukosa usafiri kama walivyozoea katika kituo cha Mwenge....
 Muonekano baada ya kubomolewa mabanda kibao yaliyokuwa yakikizunguka kituo hicho.
 Zoezi likiendelea...
Ubomoaji ukiendelea....

CAMERA YETU LEO KASHOZI ROAD BUKOBA AJARI

 Ni  majira ya saa nne asubuhi barabara ya kashozi karibu na  barabara inayoingia Banana Hotel gari kubwa  la kampuni ya Mecco inayokarabati uwanja wa ndege wa Bukoba lilimgonga mwendesha pikipiki na dereva wa gari hilo mwanamke hakuweza kusimama na kukimbia, na pikipiki kuharibika na kupelekwa polisi baada ya askari wa usalama barabarani kufika katika eneo la ajari. Jitihada za kumpata dereva huyo mwanamke pekee katika kampuni hiyo zinafanywa. Zimekuwepo ajari nyingi katika barabara hii ya kashozi kutokana na ufinyo wa barabara na watumiaji watembea kwa miguu na magari kuwa wengi zaidi , na hasa wakazi wanaoishi Kashai kutokana na barabara ya zamani kufungwa kutokana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Bukoba.
 Askari wa usalama barabarani wakipima eneo la ajari
 Hapa ndio ajari ilipotokea  kati ya Gari la kampuni ya Mecco na pikipiki
 Umati wa watu wakiwa katika tukio

 Kushoto ni mtangazaji wa Kasibante redio akiongea na wananchi walioshuhudia tukio la ajari
 Barabara hii ya Kashozi inakuwa na msongamano mkubwa nyakati za asubuhi na nyakati za jioni hali inayochangia kwa kiasi kikubwa ajari kutokea kutokana na ufinyo wa barabara. Ni wakati muafaka sasa serikali kuliona hili mapema vinginevyo  huko mbele linaweza kutokea tatizo kubwa zaidi
 Ramani ya ajari ikichorwa
 Pamoja na jitihada za Askari wa usalama barabara, bila kupatikana ufumbuzi wa barabara mbadala itakuwa shida
 ENEO LA AJARI
 Ramani ya ajari
Barabara mbadara inahitajika haraka kunusuru maisha ya wananchi.

Monday, 2 June 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE ZA UTAMBULISHO WA RAIS WA MALAWI


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa ni miongoni mwa Viongozi wa Kitaifa waliohudhuria na kusikiliza hotuba ya kwanza ya Rais mteule wa Malawi, Prof. Mutharika zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Kamuzu, jijini humo.

Miongoni mwa marais waliohudhuria ni pamoja na Rais Wa Botswana Ian Kama na Waziri wa nje Wa Msumbiji.

Prof. Mutharika aliapishwa rasmi siku ya jumamosi baada ya Tume ya uchaguzi nchini humo kumtangaza rasmi baada ya matokeo ambapo leo rais Mutharika amelihutubia rasmi Taifa hilo kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa jumamosi.

Baada ya Sherehe hizo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Bilal, amekuwa na mazungumzo ya tetea tete na Rais Prof.  Mutharika katika hoteli ya Sunbird. 
 Mke wa Makamu wa Rais, Mama Zakhia Bilal (nyuma) akiwa ni miongoni mwa waliohudhuria.
 Rais Prof. Mutharika, akiwasili uwanjani hapo akiwa katika gari la wazi.
 Wanahabari wakichacharika kunasa picha na matukio wakati Mutharika akiwasili kwenye uwanja wa Kamuzu Banda.
Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria.

MWILI WA MAMA YAKE ZITTO WASAFILISHWA KWENDA KIGOMA KWA MAZISHI




Zitto kabwe akiwa na Prof  Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi
Ndege Ikiandaliwa Ili kuweza Kuingiza Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe
Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama Yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum  kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi
Prof Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na Mwezie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma Kwenye maziko


Rais wa TASWA Juma Pinto akiwa VIP ya Terminal 1 JKN Airport alipokutana na Cardinal Pengo wakati wa kuaga mwili wa Mama yake Zitto Kabwe

Sunday, 1 June 2014

WANAUMOJA WA MJUE MWENZIO WAMPONGEZA MWENZAO JAMILA JAMAL KWA KUJIFUNGUA

 Ni mtoto Jabir Jamal aliezaliwa 29-4-2014 katika hospital ya Mugana Bukoba
 Wanaumoja wa Mjue Mwenzio wakiwa nyumbani kwa mwenzao aliejifungua,wamekuja kumpongeza kwa zawadi mbalimbali ikiwa ni utaratibu wao waliojiwekea katika umoja wao.
 Kushoto ni Mke wa Jamal Kalumuna ambae ndio aliejifungua kwa operesheni wanaumoja wenzake wamefika nyumbani kwake kumpongeza.
 Bi Oliva nae ni miongoni mwa wanaumoja
 Ni story za hapa na pale zikiendelea
 Wa mama wamependeza
 Mama na mwana wenye afya njema na furaha
Ongera mama Jamco mungu akujarie nguvu, afya ,wewe na mwanao na uweze kuendelea shughuli za kulijenga Taifa na familia.