Thursday 30 July 2015

LOWASSA ACHUKUA FOMU YA URAIS CHADEMA.

Edward Lowassa akionesha fomu ya kuwania urais aliyokabidhiwa leo Makao makuu ya Chadema,D ar.
CLJ5hSGWoAACCU3
Umati wa watu waliojitokeza kumpokea Lowassa wakati akichukua fomu ya urais kupitia Chadema.
CLJ8fhkW8AA6IKB
…Akisaini katika kitabu cha wageni.
CLJ9y4iWEAAZWy7
Mnadhimu Mkuu kambi rasmi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu akitoa yake machache.CLJ52JsWwAA--Yc
Lowassa akiwasiri kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Chadema, Dar leo.
CLKRw2sWcAAzeL9
Baada ya kuchukua fomu.
mbowe na lowassa
Mwenyekiti wa Chadema (kushoto) Mhe. Freeman Mbowe Mhe. Edward Lowassa (katikati) wakati wa zoezi la kuchukua fomu lililofanyika leo Makao Makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar .
LOWASA (1)
LOWASA (2)
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akiwa katika meza kuu ya Chadema.
 **
WAZIRI MKUU wa zamani, Mhe. Edward Lowassa hivi punde amechukua fomu ya kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
 
Lowassa amekabidhiwa fomu hiyo na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe kwenye ofisi za Makao Makuu ya chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 
Lowassa alijiunga rasmi na Chadema juzi akitokea CCM baada ya kuondolewa kwenye mchakato wa kuwa mgombea urais wa chama hicho akidai kuwa jina lake liliondolewa kwa mizengwe.
LOWASSA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA URAIS -CHADEMA Lowassa akiwasili makao makuu ya Chadema hii leo ikiwa ni siku chache baada ya kujiunga na chama hicho. Lowassa akisalimiana na wanachama wa Chadema. Lowassa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chadema. Lowassa na ujumbe wake wakiwa katika ofisi ya Mwenyekiti kuchukua fomu. Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa leo amechukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema. Lowassa amechukua fomu hio Makao Makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wanachama wa Chadema na viongozi wa juu wa Chama hicho. WAZIRI Mkuu wa zamani Mh. Edward Lowassa, (kulia), akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuwania urais kupitia CHADEMA, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Mh. Freeman Mbowe, kwenye makao makuu ya chama hicho, Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo Julai 30, 2015. Mh Lowassa, alijiunga hivi karibuni na chama hicho, baada ya kujitoa CCM. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza jambo baada ya kumkabidhi fomu Edward Lowassa kugombea Urais. Edward Lowassa akizungumza jambo. Lowassa na Tundu Lissu wakifurahia jambo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza jambo na Edward Lowassa. Naibu Katibu Mkuu, Salum Mwalimu akiteta jambo na Edward Lowassa

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ

Sunday 26 July 2015

BERNADETA MUSHASHU AIBUKA KIDEDEA KURA ZA UWT CCM MKOA WA KAGERA,ELIZABETH BATENGA AAGA RASMI BAADA YA KURA KUTOTOSHA.

 Ni mh Bernadeta Mushashu katika picha akitumbukiza kura kwenye sanduku,Kura hiyo ilikuwa inakamilisha idadi ya kura 432 alizopata kwenye kinyanganyiro cha nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Kagera UWT CCM,Katika kipindi kilichopita Mh Mushashu alikuwa nafasi ya pili na alibahatika kuwa mbunge viti maalum, Kwa kipindi kilichopita MH Elizabert Batenga alichukua nafasi ya kwanza na sasa amekuwa wa tatu kwa kupata kura 255,na nafasi ya pili kuchukuliwa na Bi Oliva Semugukuu mwenye umri wa miaka 30 na ndio kagombea kwa mara ya kwanza,Mh Batenga alipopewa nafasi ya kushukuru wajumbe aliwashukuru kwa kumchagua kwa kipindi cha miaka 25 mfululizo na kuwaaga rasmi wajumbe,Nafasi ya nne ilichukuliwa na Bi Janath Musa ambae ni katibu wa ccm Mkoa wa Tabora aliepata kura 133.
 Muonekano wa wajumbe ukumbi wa jengo la ccm Mkoa wa Kagera ambalo halijamalizwa kujengwa kwa muda mrefu sasa.
 Kulia Bi Janath Musa.
 Mwenyekiti wa ccm Mkoa Kagera Mama Buhiye akifungua Mkutano.
 Katibu wa ccm Mkoa Bw Amie akitoa maelekezo.
 Mkuu wa Mkoa Kagera akiingia ukumbini.
 Mkuu wa Mkoa Kagera John Mongella,ambae alikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi .
 Binti mdogo  Godeleva Kaijage kupitia vyuo vikuu aliibuka kidedea kwa kupata kura 487.
 Magoti yakapigwa wakati wa kuomba kura.
 Mama Elizabert Batega baada kura kutotosha akishukuru na kuaga rasmi wajumbe.
 Wapambe wa mama Mushashu kwa raha zao.
 Mme wa Mama MUSHASHU AKIMPONGEZA MKE WAKE KWA USHINDI.
 Mke wangu wewe ni zaidi ya jembe wewe ni burudoza, leo umevunja rekodi, oba mukazi we manzi.
 Mtoto akiwa na furaha, mama kashinda,Hongera Kemi.
 CCM NI ILE ILE, WATU WAKAKATA MAUNO.
 Vyomba vya habari vikamuhoji mshindi.
 Akaeleza kilicho moyoni, kikubwa ni furaha ya ushindi na kutafuta kura za ccm ili safari yake ikamilike.
Oliva Semugukuru wa tatu kulia na mmewe wa kwanza kushoto wakiwa na wapambe wao wakifurahia ushindi wa pili.