Monday 3 November 2014

LENATHA BARUTI AZIKWA NA MAMIA KIJIJINI KWAO BURUGO MUGEZA BUKOBA 2-11-2014

 Ni safari ya mwisho ya Lenatha Baruti ,ambae alikuwa na ndoto nyingi katika uhai wake na kutoweka ghafla na mauti kumfika baada ya kupata ajari mbaya ya gari Arusha, Ni siku nzito katika familia ya mzee Wilson Baruti kumpoteza binti mdogo kiumri lakini tegemeo kubwa la familia.Hakika vilio na majonzi vilitawala katika kijiji cha Burugo Mugeza Bukoba vijijini.
 Mama mzazi wa marehemu akilia kwa machungu .
 Waombolezaji.
 Kaka wa marehemu Bw Ruga.
 Kaka wa Marehemu.
 Kulia ni Baba wa Marehemu Mzee Wilson Baruti.
 Wifi wa Marehemu Mrs Ruga.
 Katikati Mh Nazir Karamagi akisalimiana na Bw Ruga.
 Mama wa marehemu akifarijiwa na mwanae.
 Bw Novatus Nkwama mwenyekiti wa wilaya Bukoba vijijini ccm akiwa  na BwKaramagi Mnec wa Bukoba vijijini.
 Heshima za mwisho kwa marehemu.
 Mzee Kayunga akitoa heshima za mwisho.
 Wakati wa mazishi.
 Bw Salumu Mawingu na Bw Majid Kichwabuta.
 Bw Novatus Nkwama akitoa mkono wa pole.
 Mzee Wilson Baruti akitoa neno la shukrani.
Pumzika kwa amani mdogo wetu.Tulikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi.