Monday 28 March 2016

UFUNGUZI WA BIKAIJAMPOLA HOTEL KEMONDO,YAMOTO BAND FANYA KWELI SIKU YA PASAKA

 Katikati ni mmiliki wa Bikaijampola hotel Bw Amdan Kajuna akiwa na mgeni rasmi (kulia) Afisa biashara wa mkoa wa Kagera Bw Isaya  Tendega aliemuwakilisha RAS kAGERA wakiwa na mama Amdan wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Bikaijampola hotel Kemondo.
 Muonekano wa jengo.
 Mandhari ya ukumbi .
 Katikati afisa utamaduni Bukoba vijijini  Bw Kamuntu.
 Ikisomwa risala.
 Bw na Bi Kanati wakiwa kwenye ufunguzi.
 Mh Diwani Omujumba.
 Kushoto mh diwani Eriud akiwa na diwan Kamala.
 Mh Diwani Richard akiwa na mkewe.
 Mgeni rasm akitoa neno.
 Mkono wa pongezi
 Yamoto wakifanya yao.