Friday 24 January 2014

CHAMA CHA MAPINDUZI BUKOBA MJINI CHATOA TAMKO ,BAADA YA KUPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CAG)

Mwenyekiti wa wilaya  Ccm Bukoba Mjini  Yusuf Ngaiza


Mchumi na Fedha wilaya George J. Rubaiyuka
Mwenyekiti wa Wilaya akisoma Tamko
Katibu wa ccm Wilaya Bukoba Mjini Janati Musa

Thursday 23 January 2014

MAPOKEZI YA BALOZI KHAMIS KAGASHEKI LEO,ASEMA WANANCHI WATULIE, WALE WOTE WALIOHUSIKA KATIKA UFISADI WA BILIONI MBILI WATAISHIA GEREZANI

 Balozi Kagasheki akipokewa uwanja wa ndege Bukoba
 Hali halisi katika uwanja wa ndege Bukoba
 Ilikuwa shughuli kupata matukio kama unavyoona
 Balozi akitembea na wanachi kutoka uwanja wa ndege mpaka uhuru Platform
 Mtaani kila mtu na camera yake
 Bw Jumanne Bingwa akiteta na Mbunge
 Nshomile akitoa Burudani
 Umati mkubwa ulihudhuria
 Mh Diwani wa kata ya Bilele Ibrahim Maburuki akifungua mkutano
 Paskazia Barongo akitabasamu
 Mwenyekiti wa kamati ya mapokezi Salumu Mawingu akitoa neno

 Diwani wa Cuf Felician Bigambo akisalimia wananchi
 Mzee Samwel Rwangisa akisalimia wananchi
 Mwenyekiti ccm wilaya ya Bukoba Mjini akisalimia wananchi, yusuf Ngaiza
 Mnec Bukoba mjini Abdul Kagasheki akisalimia wananchi
 Mnec Wilaya ya Karagwe Bw Karimu akisalimia wananchi
 Mwenezi wa CCM Mkoa  wa Kagera Hamimu Kangeze akisalimia wananchi
 Katibu wa vijana ccm Mkoa wa Kagera Didas Zimbile akisalimia wananchi
 Mwenyekiti wa kata ya Bilele Ccm  Bw Taufick akisalimia wananchi
 Balozi Kagasheki amewataka wananchi kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho  tayari  taarifa ya CAG imeshaweka mambo wazi,  na amemtaka mkuu wa mkoa wa Kagera  Kanal Mstaafu Fabian Massawe baada ya taarifa ya CAG awaombe radhi wananchi wa Manispaa ya bukoba  kumuwekea kifua mtu ambae taarifa imeweka wazi ubadhilifu uliotokea,Balozi kagasheki amesema atapita kata kwa kata , ataongea na wananchi na kuhakikisha hali ya jimbo inakuwa shwari na wanafanya maendeleo kwa haki, si kufanya maendeleo ya dhuruma haikubariki na hayuko tayari kushiriki dhuruma na ufisadi.
 Mwandishi wa channel ten
 Balozi Kagasheki  ameleza hali halisi iliyompelekea kujiuzuru uwaziri,na ameeleza  hali halisi kati vita ya majangiri wanaoteketeza tembo na rasmali za watanzania,na akaeleza kuwa ukweli utabainika  tu, maana ni mtandao unahusisha watu wachache wenye mtandao na fedha nyingi walizozipata kwa kuuwa tembo na maliasili za watanzania.
 Wananchi wakimsikiliza kwa makini mbunge
 Mc Baraka akichukua matukio

                            Wananchi baada ya mkutano wakisukuma gari la Balozi Kagasheki