Hali halisi katika uwanja wa ndege Bukoba
Balozi akitembea na wanachi kutoka uwanja wa ndege mpaka uhuru Platform
Nshomile akitoa Burudani
Umati mkubwa ulihudhuria
Paskazia Barongo akitabasamu
Mwenyekiti wa kamati ya mapokezi Salumu Mawingu akitoa neno
Diwani wa Cuf Felician Bigambo akisalimia wananchi
Mzee Samwel Rwangisa akisalimia wananchi
Mwenyekiti ccm wilaya ya Bukoba Mjini akisalimia wananchi, yusuf Ngaiza
Mnec Bukoba mjini Abdul Kagasheki akisalimia wananchi
Mnec Wilaya ya Karagwe Bw Karimu akisalimia wananchi
Mwenezi wa CCM Mkoa wa Kagera Hamimu Kangeze akisalimia wananchi
Katibu wa vijana ccm Mkoa wa Kagera Didas Zimbile akisalimia wananchi
Mwenyekiti wa kata ya Bilele Ccm Bw Taufick akisalimia wananchi
Balozi Kagasheki amewataka wananchi kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho tayari taarifa ya CAG imeshaweka mambo wazi, na amemtaka mkuu wa mkoa wa Kagera Kanal Mstaafu Fabian Massawe baada ya taarifa ya CAG awaombe radhi wananchi wa Manispaa ya bukoba kumuwekea kifua mtu ambae taarifa imeweka wazi ubadhilifu uliotokea,Balozi kagasheki amesema atapita kata kwa kata , ataongea na wananchi na kuhakikisha hali ya jimbo inakuwa shwari na wanafanya maendeleo kwa haki, si kufanya maendeleo ya dhuruma haikubariki na hayuko tayari kushiriki dhuruma na ufisadi.
Mwandishi wa channel ten
Balozi Kagasheki ameleza hali halisi iliyompelekea kujiuzuru uwaziri,na ameeleza hali halisi kati vita ya majangiri wanaoteketeza tembo na rasmali za watanzania,na akaeleza kuwa ukweli utabainika tu, maana ni mtandao unahusisha watu wachache wenye mtandao na fedha nyingi walizozipata kwa kuuwa tembo na maliasili za watanzania.
Mc Baraka akichukua matukio
No comments:
Post a Comment