Friday 3 June 2016

MAZISHI YA MAREHEMU AUGUSTINE KALEMERA,MAMIA WATOA USHUUDA WA MAISHA YAKE,ALIMPENDA MUNGU.

 Ni matukio mbalimbali ya mazishi ya marehemu Omulangira Augustine Kalemera aliezikwa nyumbani kwake Kamachumu , Bushagara Kizigo.Mamia ya watu mbalimbali walifika kushiriki mazishi yake yaliongozwa na Baba Askofu wa jimbo la Kayanga Armachus Rweyongeza na mapadre kutoka sehemu mbalmbali, Watu wengi waliopata nafasi ya kumuongelea marehemu,wengi walitoa ushuuda kuwa marehemu alishiriki sana katika shughuli za kanisa na kumpenda mungu wakati wote.(Katika picha ni watoto wa marehemu 11)

 Familia ya mzee Adrof.
Ma janath.
 Mzee Rwiza Ndeko akitoa ushuuda wa marehemu, jinsi alivyomfaamu.
 Mjane wa marehemu Christophe Ngaiza akitoa ushuuda.
 Watoto wa marehemu.

 Mama Matungwa mkurugenzi wa kampuni ya Advert inayojishughulisha na maswala ya upambaji na kutuo huduma mbalimbali ktk sherehe mbalimbali, ndio waliusika katika upambaji, viti,matent nk.
 Mjukuu wa marehemu.
 Kampuni ya A-Plus kutoka Uganda waliusika katika kubeba jeneza na swala zima la kuzika.
 Baba Askofu Armachus Rweyongeza wa jimbo la kayanga akiendesha ibada ya mazishi.
 Mc Rutakwa akiwa kazini
 Heshima za mwisho
 salamu za rambirambi
 Omurangila Kahigi akitoa salamu na shukrani za familia.