Wednesday 1 June 2016

KWA HERI MAREHEMU AUGUSTINE KALEMERA,AAGWA NA WAKAZI WA BUKOBA MJINI.KUZIKWA KAMACHUMU 2-6-2016

 Ni katika kanisa katoliki la Cathedral Bukoba mjini,ndugu ,jamaa na marafiki walipata fursa ya kuuaga mwili wa marehemu Augustine Kalemera kabla ya kupelekwa nyumbani kwake kamachumu, Bushagara Kanoni kwa ajili ya mazishi.

 Watoto wa marehemu wakiwa  motury ya hospital ya Mkoa wa kagera,wakisubiri maandalizi ya mwili wa marehemu baba yao.
 Wajukuu wa marehemu.
 Gari maalumu la kubeba mwili.
 Msafara ukielekea kanisani Bukoba mjini.
 Mwili ukiingizwa kanisani.
 Ibada takatifu ikaanza.
 Wanafamilia.
 Wajukuu, machungu time.

1 comment:

  1. Asante sana Jamcoblogspot baba tulimzika kwa heshima

    ReplyDelete