Ni muonekano wa nje wa kiwanja kipya cha maraha kinachofunguliwa rasmi Idd pili The Liquid Lounge, ni jengo lililokuwa likijulikana kama Urafiki Bar,ni eneo zuri kwa nje na ndani limekarabatiwa kisasa na kwendana na viwango vya kidigital na vya Hapa kazi tu.
Sehemu ya Counter.
Wa kwanza kushoto Bw Samora Lyakulwa mmiliki wa eneo husika.
Ni katika harakati za kurekebisha hapa na pale.
sehemu ya Dj kukaa.
Ni speaker ndogo kwa muonekano , lakini balaa kwa sauti na muziki wa kiwango.
vispeaker hivyo,kweli ni dhama za kidigital.