Friday 2 March 2018

MWILI WA MA MASTIDIA BARUTI WAWASILI BUKOBA, KUZIKWA JUMAMOSI 3-3-2018 MUGEZA BURUGO

 Ni majonzi kwa familia ya Baruti katika uwanja wa ndege wa Bukoba, vilio na simanzi vilitawala mara baada ya ndege ya shirika la ndege Tanzania kuwasili katika uwanja wa Bukoba ikiwa imebeba mwili wa Ma Mastidia Baruti aliaga dunia akiwa jijini Dar,Wanafamilia na watu mbalimbali walifika kupokea mwili na kuelekea nyumbani kwa marehemu kijijini Mugeza Burugo, Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi 3-3-2018.
 Picha ya marehemu wakati wa uhai wake.
 Ndugu, jamaa na marafiki waliofika uwanja wa ndege Bukoba kupokea mwili wa marehemu.
 Shekhe wa Mkoa Kagera Haruna Kichwabuta  mwenye kofia akimpa mkono wa pole Mme wa marehemu  mzee Wilson Baruti aliekaa mwenye koti jeusi, kabla ya mwili kuwasili uwanja wa ndege wa Bukoba.
 watu waliojitokeza uwanja wa ndege Bukoba kupokea mwili.
 M,safara wa magari kutokea uwanja wa ndege Bukoba kuelekea kijijini Mugeza Burugo.
 Mwili umewasili nyumbani kijijini.
 Wanafamilia katika majonzi.
Mazishi yanafanyika siku ya Jumamosi, kijijini kwao Mugeza Burugo.