Tuesday 21 March 2017

KAJUMULO ALEXANDER GIRLS HIGH SCHOOL YAFANYA MAAFALI YA SITA KIDATO CHA SITA 2017 BUKOBA,

 Kajumulo Alexander girls high school shule ya wasichana wamefanya mahafali ya sita mwaka 2017,Shule hii ambayo mwanzilishi wake ni Prof Anna  Tibaijuka ambae aliianzisha kwa lengo la kumkomboa mtoto wa kike.
 Waagwa,
 Waagwa kidao cha sita wakiingia ukumbini.
 Kidato cha nne wakitumbuiza
 Waagwa wakisoma risala.
 Mkuu wa shule akisoma Taarifa ya shule.
 Wazazi
 Waagwa kidato cha sita wakitumbuiza.
 Mwenyekiti wa bodi ya shule akitoa salamu.
 Mgeni rasmi akinadi gazeti la shule
 Baba Askofu Kilain akichangia kwa kununua gazeti la shule kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za ujenzi wa bwalo la shule.
 Mwenyekiti mwanzilishi wa Kajumulo  Alexander Girls high school Prof Anna Tibaijuka akielezea changamoto mbalimbali zinazoikabili shule.
 Baba Askof Methodius Kilain(kushoto) Mkuu wa shule Bablon Dar, Prof Anna Tibaijuka na Mkuu wa Kajumulo Girls High school Bw Mulokozi.
 Mwanafunzi Kauthari akimlisha mama yake Mzazi Modesta Theobard keki.