Mwaka mmoja na siku nne leo tangu kamanda mwesiga afariki dunia,misa takatifu ya kumkumbuka na kumaliza matanga imefanyika,Mama mjane ma Imelda mwesiga,watoto, ngugu, jamaa,marafiki na viongozi wa dini wamejumuika kwa pamoja kumuombe.
Ni kaburi la mpendwa na kipenzi cha familia,kipenzi cha jamii marehemu kamanda John Josiah Mwesiga
( kushoto) mjane wa marehemu ma Emelda
tarumbeta zilisikika kila pande kuashiria kamanda leo katimiza mwaka na siku nne tangu atoke duniani
ulifika wakati wa kwenda kwenye kaburi na kumuombea
watoto wa marehemu wakiwasha mishumaa
baba yetu tunakuwashia mishumaa hii iwe nuru ya maisha yako ,baba tulikupenda sana, lakini mungu alikupenda zaidi,baba leo wanao na mama zetu ,majirani na ndugu wote tumekusanyika kukuombea
baba nashindwa kujizuia kulia,nakumbuka upendo wako na hasa kwangu,malezi yako na zaidi mapenzi yako kwangu,baba tunatumaini kukutana tena mbinguni,ewe mungu wetu mpumzishe baba yetu kwa aman
mjane ma Imelda
mume wangu mpenzi leo ni mwaka hauko machoni mwangu,ni mengi nakumbuka kutoka kwako,daima na milele nitakuwa wako,unakumbukwa na wanao jospeter,jossyane,peace,kabesi,jovin,huruma,neema na upendo,kama kichwa cha familia tutaenzi yote uliyoyaacha na kuyaendeleza tukimtanguliza mungu mbele kwa kila jambo
pumzika kwa amani mume wangu
ni wakati mgumu kwa familia
familia ya marehemu
wachungaji wakiongoza maombi kaburini
ibada ikaanza ukumbini
neno la mungu likasomwa
nyimbo za kumtukuza bwana zikaimbwa
pamoja na majonzi, watu wakaburudika kwa matarumbeta
kila mmoja akiwaza lake kuhusu kamanda mwesiga
Jossyanne mwesiga akiwa na mumewe Joseph George mmarekani
pozzzz
watu waliudhuria kwa wingi kumkumbuka marehemu
wakati wa matoleo
watu wakaomba mungu apokee sadaka zao
ukafika wakati rasmi wa mama kumpa zawadi ya kitenge kama ishara ya kumaliza matanga
watoto wa kike,mama akalia sana kumkumbuka mumewe
mkwe mcheshi, furaha muda wote ndugu Joseph George akishukuru kuwa miongoni mwa wakwe katika familia ya upendo ya mzee mwesiga
leo mwaka mzee mwesiga katuacha
pozzz
waalikwa wakisikiliza kwa makini
dada wa marehemu akatoa neno la shukrani
ukafika wakati wa chakula
zikapigwa picha za familia eneo la kaburi
watoto wa marehemu wakiwa na mama
watoto wa kike na mama
upendo ni kitu cha msingi katika familia
upendo utawale katika familia
tunakumic dady
Piga picha na ya baba ionekane
mkwe mchangamfu huyu
jamcobukoba.blogspot.com inawapa pole sana familia ya kamanda mwesiga,kikubwa ni kumuombe na endeleleza upendo aliokuwa nao kwa familia,ndugu, jamaa na marafiki. KAMA UNATUKIO AU SHUGHULI YOYOTE NA UNAHITAJI PICHA ZA VIDEO. PICHA ZA MNATO AU KURUSHA TUKIO LAKO KWENYE MTANDAO NA KUONEKANA DUNIA NZIMA WASILIANA NASI KWA SIMU 0754-757157,0788-707027 AU 0714-707027 KARIBUNI