Saturday 15 February 2014

VALENTINE YA KITAIFA YAFANA KATIKA UKUMBI WA LINA'S BUKOBA WALIOPENDEZA NA KUKIDHI VIGEZO WAIBUKA NA ZAWADI NONO

 Ni mmiliki wa jamcobukoba.blogspot akiwa katika lango kuu la kuingia katika ukumbi wa shughuli
 Watu moda wote walikuwa na furaha,huduma nzuri zilizoandaliwa na kamati
 Ni siku ya wapendanao iliyokutanisha watu kutaka mataifa mbalimbali
 Huyu nae alitoka single
 Wanaopendana utawajua tu
 Chezeaa Maua Dafrati weweee
 Mr Jamco na Mkewe Bi Jamira
 Mr Deo na Mama wakikaribishwa mlangoni, kabla ya kukaa ulikuwa unapata kinywaji cha kukaribishwa
 Nanakwambi ilikuwa ya kitaifa, ni jinsi ulivyojisikia unaingiaje
 Kucheza ilikuwa ukijisikia  ni stage
 Hakika  Valentine hii watu walifurahi
 Utajaza mwenyweeeee
 MH Kagasheki ni miongoni mwa wageni waliokuwepo ,akiongea na Mr Mtensa
 Mh Kagasheki akisalimiana na wageni ukumbini
 Mama Deo
 Mr Deo NA mH Kagasheki katika maongezi
 Afisa utamaduni wa manispaa Bukoba nae ndani ya nyumba
 Wadada walitokelezea
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Mr Bube akieleza maana halisi ya siku ya Valentine
 Ukumbi ulipendeza ulipambwa na mama Edan
 Na hii ndio kamati ya maandalizi ya shughuli nzima,mwanakamati mmoja alipata dharula Mr Ernes Nyambo ambae alipata safari ya ghafla
 Ikafika wakati mwenyekiti akaonyesha uwezo wake katika kusakata mayenuu
 Chezea Bube weeee
 Mr Subira na mkewe
 Jamco video production wakiwa kazini, kijana Kamala akiwakilisha
 Jumanne Bingwa ukitaka kumjua uzuri au baya wake anapokuwa eneo hili
 Chakula kizuri cha aina yake
 Kijana Mohamed Kasimu
 Mr Rakson Kahabuka akiongea  kwa mmoja ya wadhamini wa shughuli, TBL walitoa kinywaji kimoja kwa kila mgeni aliekuwa anaingia mlangoni(welcome drink)
 Mr Ibra Kadabra anasema maisha ni Gas, Kampuni ya Mtoka Gas Supplies wametoa zawadi ya jiko la Gas kwa washindi mme na mke waliopendeza na kukidhi  vigezo
 Mc Jerry akiwakilisha
 Ikashindaniwa zawadi ya kucheza twist
 Dada akaibuka mshindi wa kucheza Twist akapewa zawadi yake
 Nani zaidi kucheza ngolololooo



 Mr & Mrs Girbart( G smart) ndio walioibuka washindi na kujipatia jiko la Gas
 Mr Bube akiwakabidhi zawadi ya jiko la Gas  Bw na Bibi Girbart
 Hawa walishinda zawadi ya Pasi ya umeme kwa mwonekano wao na jinsi walivoshona nguo zao
 Mshindi wa zawadi ya binti alie single ni Nancy alipendeza na alijiamini kwa kuongea,kutembea na kufurahi muda wote alipokuwa amekaa mezani,alipata zawadi ya pasi ya umeme na ua fresh
 Ongera Nancy
 Mc Baraka na Mh Kagasheki
 Kijana Stivin akiwa na Mh Kagasheki
 Mpangilio ulikuwa mzuri swala la chakula ni muda wote ukijisikia
Hii ndio Valentine ya 2014 ya kitaifa ilifanyika katika ukumbi wa Lina's,endelea kuangalia jamcobukoba.blogspot.com