Tuesday 11 February 2014

UINGEREZA NAKO YALE YALEEEEEE, MAFURIKO YA KUTISHA


Baadhi ya magari yakiwa yamezama nje nyumba kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Uingereza na kusababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.
Njia za Treni na barabara zilkiwa zimejaa maji.....
Waokoaji wakiwavusha wananchi baada ya kuwaokoa kutoka katika nyumba zao zilizojaa baji.
Baadhi ya raia wa nchini humo, wakiwa hawana la kufanya baada ya nyumba yao kuzungukwa na maji na kujaa ndani.
Waokoaji wakimuokoa mwanamama...
Uokoaji ukiendelea.....
Nyumba zikiwa zimezungukwa na maji ...
Huku ndiyi angalau maji si mengi....

No comments:

Post a Comment