Friday 29 August 2014

VICTOR ALCARD MWOMBEKI AFANYIWA SHEREHE BABU KUBWA NYUMBANI KWAO(BAG PARTY) NA WANA KASTAMU NA BAKOBA KABLA YA NDOA YAKE ITAKAYOFUNGWA 13-9-2014

 Ni bwana harusi mtarajiwa Victor akiwa na mama yake mzazi Ma Vediana Fredrick anatarajia kufunga pingu za maisha 13-9-2014,Wana Kastamu wakishirikiana na mama mzazi wa victor ndugu na jamaa waliandaa sherehe ya kumkaribisha na kumpongeza Victor kabla ya ndoa yake takatifu na Bi Lyidia Kashubi Protas.
 Mambo yalikuwa mazito walidondoka ng'ombe wawili kwa ajili ya Vctor na waalikwa wote
 Mandalizi yakiendelea
 Uwezi amini kama hapo ni migombani ni kampuni ya Walkgard hotel chini ya mkurugenzi Mama Matungwa ndio alipamba eneo  na kubadilika
 Kulia ni Mh Diwani Bigambo ni miongoni mwa wageni waliokuwepo
 Bw Bushira nae alikuwepo
 Eneo la migombani lilibadilishwa na kuonekana hivi ,pande za Kastamu Bukoba mjini
 Wamama wa Kastamu walitokelezea
 Mapema Victor akiwasili kutoka uwanja wa ndege  wa Bukoba akitokea Dar kuja kwenye shughuli yake ,na Coster imeleta marafiki wa victor kutoka Dar
 Wageni kutoka Dar wakishuka kwenye gari
 Shangwe zikatawala
 Mama Matungwa mpambaji akimpokea victor alipowasiri Kastamu
 Ndugu na jamaa wakimpokea
 Kulia Mama mzazi wa victor akija kumpokea mwanae
 Karibu nyumbani mwanangu
 Watu wakajitoa fahamu
 Marafiki walioambatana na victor
 Eneo rasmi aliloandaliwa Victor
 Victor akiwa na rafiki yake kipenzi
 Mkurugenzi wa jamco video production na Blog hii akiteta jambo na Victor
 Watu wakacheza ngoma
 Mama mlezi wa victor wa Dar mama Kafanabo akitambulisha watu waliotoka Dar
 Kundi la Ngoma la Rugoloire likamfurahisha Vctor
 Hapana chezea victor katika ngoma
 Kwaya YABUNENA NAO WAKATUMBUIZA
Wakati wa chakula
 Mh Diwani Bigambo akitoa neno
 Umati mkubwa wa wageni waalikwa
 Wamama wa uwaka wakicheza ngoma
 Toina kumubona Victor
 Wamama wa uwaka wakimpa zawadi victor
 Nani kama mama
 Akaingia diamond wa Bukoba Nshomile Family watu wakapagawa
 Mistari ya nshomile ikamwamsha victor na kumwagia noti za kutosha
 Hapana chezee Nshomile
 Ashiraf rafiki wa victor akiteta jambo
 Mambo ya samaki wa foil
 Nyama choma
 Ni migombani huwezi aminiiiii
 Cheza ngoma
 Maisha yakiendelea
Hakika wahaya wanamsemo(Oburanura bubanza ne nan'ga) kama mabo yamekuwa hivi sherehe ya nyumbani,  siku ya ndoa 13-9-2014 itakuaje, mimi na wewe hatujui tusubiri.jamcobukoba.blogspot.com tunawatakia maandalizi mema.

1 comment: