Kagasheki cup 2013 inayoelekea hatua ya robo fainali itafungwa kwa muda kuanzia 22-7-2013 ili kupisha mkutano wa hadhara wa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Jakaya mrisho kikwete utakaofanyika katika uwanja wa kaitaba 24-7-2013, kwa mujibu wa maelezo ya mwenyekiti wa kagasheki cup marick tibabimale amesema amea pokea barua kutokakwa mkurugenzi wa manispaa ikimtaka asitishe mashindano mpaka baada ya mkutano wa rais kikwete kufanyika.
wakati huohuo leo timu ya bakoba imeendeleza wimbi la ushindi la kuifunga kahororo 2-0 mechi iliyochezwa mapema na mechi ya pili hamugembe kamfunga nyanga 3-0
balozi kagasheki ambae ndio mdhamini wa mashindano haya ambayo yanazidi kupamba moto na kukusanya maelfu ya wanachi wanaojitokeza kutizama michezo mbalimbali katika uwanja wa kaitaba
uwanja huu ndio utakaotumika kwa ajiri ya mkutano wa rais kikwete 24-7-2013, hivyo mechi za tarehe 22-7-2013- 24-7-2013 zitapangiwa tarehe nyingine
kamati inaomba radhi kwa wapenzi wote wa soka, timu zote zitakazositisha michezo katika tarehe hizo,kwani swala hili ni la kitaifa.
Saturday, 20 July 2013
MZEE JOEL RUANGISA WA KITENDAGURO KUZIKWA JUMATATU 22-7-2013
marehemu joel ruangisa enzi za uhai wake,ni kaka mkubwa wa diwani wa kata ya kitendaguro mh samweli ruangisa
mh samweli ruangisa akiwa msibani nyumbani kwake kitendaguro
ndugu jamaa na marafiki wakiwa msibani kitendaguro
mzee rutabingwa(kushoto) swaiba mkubwa wa mzee samwel ruangisa akiwa msibani
Na hapo ndio yanaandaliwa makazi mapya ya milele ya marehemu
ma Rahery ruangisa ,jamal kalumuna na mama shamira wakiwa kilioni
bwana raban ndugu wa marehemu
peter ruangisa akiwa na marehemu joel ruangisa enzi za uhai wake
mjane wa marehemu joel,watoto wake na mjukuu
mazishi yatafanyika kitendaguro 22-7-2013 jumatatu ,jamcobukoba.blogspot.com inatoa pole kwa familiaya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki
mh samweli ruangisa akiwa msibani nyumbani kwake kitendaguro
ndugu jamaa na marafiki wakiwa msibani kitendaguro
mzee rutabingwa(kushoto) swaiba mkubwa wa mzee samwel ruangisa akiwa msibani
Na hapo ndio yanaandaliwa makazi mapya ya milele ya marehemu
ma Rahery ruangisa ,jamal kalumuna na mama shamira wakiwa kilioni
bwana raban ndugu wa marehemu
peter ruangisa akiwa na marehemu joel ruangisa enzi za uhai wake
mjane wa marehemu joel,watoto wake na mjukuu
mazishi yatafanyika kitendaguro 22-7-2013 jumatatu ,jamcobukoba.blogspot.com inatoa pole kwa familiaya marehemu, ndugu, jamaa na marafiki
Friday, 19 July 2013
RAIS KIKWETE AFUTURU NA WATOTOYATIMA IKULU
Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam |
Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam . |
Baadhi ya watoto yatima wakishiriki katika futari iliyoandaliwa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu |
Thursday, 18 July 2013
MAMA PRUKERIA FREDERK LYAKURWA AFARIKI LEO( MAARUFU MAMA GEORGE LYAKURWA)
Familia ya marehemu Frederk lyakurwa inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa kilichotokea leo saa kumi huko jijini mwanza,mama alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa kansa kwa muda mrefu,kwa mujibu wa maelezo ya mtoto mkubwa wa marehemu mipango ya kusafirisha mwili inafanyika kutoka mwanza na kupeleka moshi kwa ajili ya mazishi.jamcobukoba.blogspot.com inawapa pole watoto wa marehemu, ndugu, jamaa na marafiki. tulikupenda sana mama yetu ila mungu amekupenda zaidi upumzike kwa amani.
KAGASHEKI CUP 2013, BAKOBA 1 vs KASHAI 1 - HAKUNA MBABE,POLISI WAIMARISHA ULINZI KUTOKANA NA WINGI WA WATU
Shabiki nguri mwana mama wa kashai neema akiwa makini kuangalia mechi
dah mchezo mgumu huu
wa mama wanapenda sana soka
kagasheki cup noma, watu nyomi
police baada ya mechi wakiangalia usalama
tujipange, ligi ngumu haitabiriki
umakini mchezoni
willy kiroyera walidhamini mechi itangazwe live redio kasibante
vituko uwanjani, mashabiki wa kashai
kazi ipo ,umeona mechi ilivyokuwa ngumu
dah hii si mchezo
mwanalibeneke wa bukobasports akiwa na mkewe baada ya mechi
kumbe hii kagasheki cup si mchezo,watu wanajaa hivi
mkurugenzi wa manispaa akihojiwa na mtangazaji wa redio kasibante
mkurugenzi wa manispaa akitoka uwanjani
mechi imekwisha nashuka
kwa jinsi uwanja ulivyojaa ilibidi watu wapande magari kwa juu waweze kuona mechi
polisi hawachezi mbali
barabara itokayo kaitaba kuelekea soko kuu imefurika
Timu zikianza kuingia uwanjani, mbele ni waamuzi wa mtanange huu kati ya Bakoba na Kashai
Waamuzi wa Mtanange huu
Kikosi kilichoanza cha Kashai
Benchi la Bakoba
Mashabiki leo wameingia buku tatu kidogo!!
Nyomi ya mashabiki leo hii
Waamuzi wa Mtanange huu
Kikosi kilichoanza cha Kashai
Benchi la Bakoba
Mashabiki leo wameingia buku tatu kidogo!!
Nyomi ya mashabiki leo hii
Subscribe to:
Posts (Atom)