Thursday 18 July 2013

MAMA PRUKERIA FREDERK LYAKURWA AFARIKI LEO( MAARUFU MAMA GEORGE LYAKURWA)

Familia ya marehemu Frederk lyakurwa  inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa kilichotokea leo saa kumi huko jijini mwanza,mama alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa kansa kwa muda mrefu,kwa mujibu wa maelezo ya mtoto mkubwa wa marehemu mipango ya kusafirisha mwili inafanyika kutoka mwanza na kupeleka moshi kwa ajili ya mazishi.jamcobukoba.blogspot.com inawapa pole watoto wa marehemu, ndugu, jamaa na marafiki. tulikupenda sana mama yetu ila mungu amekupenda zaidi upumzike kwa amani.

No comments:

Post a Comment