Tuesday 16 July 2013

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA KABOYA BUKOBA 25--7-2013-

Amir jeshi mkuu wa MAJESHI YA Tanzania, ambae pia ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ndie mgeni rasmi katika sherehe za mashujaa zitakazofanyika katika kambi ya jeshi ya kaboya ,kilometa arobaini kutoka bukoba mjini,kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na ofisi ya waziri mkuu, rais kikwete atawasili bukoba 24-07-2013 katika uwanja wa ndege wa bukoba, 25-07-2013 saa 2.30 rais atakwenda kaboyo ambako atakagua gwaride,atatembelea makaburi na kuweka shada  la maua na zana za kimira na majira ya saa saba atarejea bukoba mjini .rais kikwete ataondoka 29-07-2013

No comments:

Post a Comment