Saturday 16 January 2016

SHEREHE YA KUWAPONGEZA MUGISHA NA LIGHTNESS NDANI YA LINA'S,ILIKUWA NI SHIDAAAA....

 Mr & Mrs Mugisa katika ubora wao.
 Muonekano wa meza ndani ya ukumbi.
 Taswira ya ukumbi.
 Sehemu maalumu ya kupigia picha kwa wageni waalikwa.
 Bw Stephen katika ubora wake na Matron.
 Ni vijimambo tu kabla ya kuingia ukumbini.
 Keki.
 Maharusi wakiingia ukumbini.
 Mr & Mrs Kitwe katika ubora wao.
 Masikini halali mchana na mkewe.
 Kamati ikiselebuka baada ya kutoa zawadi.
Jamcobukoba.blogspot.com inawapongeza kwa kufunga pigu za maisha.

Friday 15 January 2016

MANGULA AFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA CHINA


 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama.

  MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kulia ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama,.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
 Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akimkabidhi zawadi Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha Rose Migiro pamoja na wajumbe wengine kutoka China.

Thursday 14 January 2016

HONGERA MUGISHA NA LIGHTNESS KWA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA.

 Bw harusi (kulia)akiwa na mpambe wake wakili msomi Bw Stephen Byabato wakielekea Kanisani.
 Maharusi wakiwa na wazazi bw harusi.
 Mkataba....
 akisaini gamba.
 Shaidi nae akisaini.
 Msafara....
 Walgard Transit katika ubora wake.
 Maharus kwa mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na shangwe kwenye ukumbi wa Linas,kiwanja cha Walkgard
Tutaendelea na matukio mengine,