Thursday 14 January 2016

MAZISHI YA MAREHEMU OMWANA MARIA EDWARD MBONEKO,MIAKA 96 YA UHAI WAKE AACHA UKOO MKUBWA.

Ilikuwa ni majonzi kwa watoto,ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya marehemu Omwana Maria Edward Mboneko katika mazishi yake yaliyofanyika kijijini Gera wilaya ya Missenye,Omwana Maria alie fariki akiwa umri wa miaka 96,alieacha wajukuu,vitukuu na vilembwe.
Mjukuu mkubwa akiwa na na mwenzake wakiandaa neno la wajukuu.
Omulangira Rugaibura akiteta jambo.
Omurangira Deo Rugaibura (kulia) akiwa na Omurangira Ben Kataruga.
Mtoto wa marehemu Omwana Baby.
Kushoto, Mchungaji akitoa mkono wa pole.
Bw Matunda (kushoto) akipokea wageni
Baba Askof Methodius Kilain akiongoza ibada ya misa , mwili ukitolewa ndani kwenda eneo la Ibada.
Kampuni ya kuzika kutoka nchini Uganda ikiwa  kazini.
Wajukuu wakicheza ngoma.
Bw Basibira akikabiliana na wajukuu, baada ya kuvishwa kofia rasmi, na ili wakuvue unaweka pesa.
Mchungaji nae wajukuu wakamzukia wakitaka chao.

Omurangira Ben Kataruga nae wajukuu wakataka chao.
Jamcobukoba.blospot.com inawapa wanafamilia wote.

No comments:

Post a Comment