Friday 25 August 2017

MAMIA WAMLILIA MAREHEMU EMANUEL RWEGASIRA,MBUNGE MSTAAFU BUKOBA VIJIJINI.

Aliewahi kuwa mbunge wa jimbo la Bukoba vijijini miaka ya themanini Bw Emanuel Rwegasira amezikwa nyumbani kwake kijiji cha Kitendaguro Manispaa ya Bukoba na mamia ya ndugu, jamaa na marafiki kutoka pande tofauti.katika picha wajukuu wakiwa wamebeba jeneza la marehemu.Endelea kuangalia picha za matukio ya mazishi.
Picha ya marehemu.
Mc Rutakwa akiendesha ratiba.

PUMZIKA KWA AMANI MZEE RWEGASIRA