Sunday 20 August 2017

NIKKAH YA FAYAD NA SALMA, HONGERENI SANA.

 Ni furaha na nderemo vilitawala kwa nana familia pale Fayad na Salma walipofunga ndoa hivi karibuni katika Manispaa ya Bukoba.Mwenyzi mungu awatangulie katika maisha yenu mapya ya ndoa.
 Bw harusi akiwasili nyumbani kwa Bi harusi kwa ajili ya kufunga ndoa.
 Wageni waalikwa.

 Bi harusi.


No comments:

Post a Comment