Friday 10 February 2017

JAMBO BUKOBA LAANDAA BONANZA LA MICHEZO SHULE ZA MSINGI MKOA WA KAGERA KATIKA VIWANJWA VYA GYMKANA BUKOBA.

Mkuu wa mkoa Kagera meja jenerali mstaafu Salumu Kijuu amefungua bonaza la michezo kwa shule za msingi mkoa wa kagera linalodhaminiwa na shirika lisilo la serikali Jambo Bukoba linaloendeleza michezo katika mkoa wa Kagera,bonanza hilo lilifanyika katika viwanjwa vya Gymkana manispaa ya Bukoba.
katika picha ni wanawa shule mbalimbali  kutoka wiolaya za mkoa wa kagera wakiwa katika maandamano.
Kulia ni mkuu wa mkoa Kagera Meja Jenelari mstaafu salumu kijuu akiwa na mkurugenzi wa Jambo Bukoba Bw  Clemens Mulokozi.



Kushoto ni Bw Gonza , mratibu wa Jambo Bukoba mkoa wa kagera.
Mkuu wa mkoa akipiga mpira kuasshiria ufunguzi rasmi wa Bonanza la Jambo Bukoba 2017
Kusoto ni Balozi Ngemela akiteta na mkuu wa mkoa kagera.
Kakau bendi