katika picha ni wanawa shule mbalimbali kutoka wiolaya za mkoa wa kagera wakiwa katika maandamano.
Kulia ni mkuu wa mkoa Kagera Meja Jenelari mstaafu salumu kijuu akiwa na mkurugenzi wa Jambo Bukoba Bw Clemens Mulokozi.
Kushoto ni Bw Gonza , mratibu wa Jambo Bukoba mkoa wa kagera.
Mkuu wa mkoa akipiga mpira kuasshiria ufunguzi rasmi wa Bonanza la Jambo Bukoba 2017
Kusoto ni Balozi Ngemela akiteta na mkuu wa mkoa kagera.
Kakau bendi
No comments:
Post a Comment