Monday 8 July 2013

MWANZA KIDEDEA AIRTEL RISING STARS!


Timu ya Mwanza wakishangilia baada ya kupokea hundi yao na kombe

Naibu Waziri wa Habari, Michezo, Utamaduni na Vijana, Amos Makala akimkabidhi nahodha wa Mwanza Kelvin Faru kombe baada ya kutwaa Ubingwa wa Airtel Rising Stars 2013 baada ya kuifunga Morogoro bao 1-0

Timu ya Kinondoni wasichana wakishan gilia na kombe lao walilotwaa baada ya kuifunga Ilala bao 1-0

Rais wa TFF Leodgar Tenga akimkabidhi nahodha wa Kinondoni wasichana kombe

Waliokaa chini mbele ndio wachezaji bora sita waliochaguliwa kujiunga na timu ya Airtel Afrika

Timu ya Airtel Rising Stars wanaume itakayowakilisha nchini kwenye mashindano ya Afrika ya ARS wakiwa pamoja na uongozi baada ya kutangazwa

Timu ya Airtel Rising Stars wasichana itakayowakilisha nchini kwenye mashindano ya Afrika ya ARS wakiwa pamoja na uongozi baada ya kutangazwa

Kocha mkongwe Kenedy Mwaisabula akivishwa medali na Rai wa TFF baada ya kazi iliyotukaka ya kusimamia michuano ya ARS

Mwenyekiti wa DRFA Almas Kassongo akivishwa medali na Rai wa TFF baada ya kazi iliyotukaka ya kusimamia michuano ya ARS

No comments:

Post a Comment