Saturday 4 November 2017

WASANII KUTOKA MAREKANI WATEMBELEA SHULE YA JOSIAH GIRLS HIGH SCHOOL KUKUZA URAFIKI.

 Pamoja na kusoma kwa bidii na shule ya Josiah kufanya vizuri katika mitihani ya kitaifa kwa kufauru kwa kiwango cha juu na kuwa na matumaini makubwa ya kumkomboa mwanamke wa Tanzania, Josiah Girls High school pia hawako nyuma katika kukaza vipaji vya wanafunzi katika sanaa, Kundi la wasanii kutoka nchini Marekani wam,etembelea Shule ya Josiah na kubadilishana mawazo kwa kujionea jitihada zinazofanywa na uongozi wa shule katika kuhakikisha vipaji vya wanafunzi vinakuzwa, Kundi kutoka Marekani walipata wasaa wa kuonyesha  na kuburudisha wanafunzi wa Josiah kwa kuimba na kucheza ngoma, ikiwa ni njia moja wapo ya kukuza urafiki na  mahusiano mema.
 Msanii kutoka Marekani akionyesha uwezo wake wa kuimba , kuheza na kupiga gita.
 Wamerekani wakionyesha uwezo wao katika kupiga ngoma.
 Wanafunzi wa Josiah Girls wakitoa burudani kwa wageni.
 Mkuu wa shule akitoa neno la shukrani.