Saturday 4 October 2014

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII LAZARO NYALANDU AZINDUA ZAHANATI YA COSAD BUKOBA,ASEMA SMART BAITAN NI MFANO WA KUIGWA.


 Katika secta ya afya nchini imekuwepo changamoto kubwa kuhusiana na uhaba mkubwa wa huduma za afya kwa kutokuwa na Mahospitali sambamba na wataalamu,na kusababisha tatizo kubwa katika jamii kubwa ya Tanzania,Serikali imekuwa ikijitahidi kuhakikisha inatatua tatizo hili ikiwa ni pamoja na kushawishi Taasisi,Mashirika na watu binafsi kuanzisha na kufungua Mahospital na zahanati katika kukabiriana na tatizo hili. Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la COSAD lililopo Marekani,Tanzania na wadau wengine nchini Canada  Bw Smart Baitan aliliona hilo na kudhamili kwa dhati kuhakikisha anakuwa miongoni mwa watu wachache wazalendo wanaokumbuka na kusaidia watu katika jamii wenye uhutaji wa mambo mbalimbali sambamba na huduma za afya. Na sasa anaandika historia Tanzania, Mkoa wa Kagera Manispaa ya Bukoba , Waziri wa maliasili na Utalii Mh Lazaro Nyalandu anafungua rasmi zahanati ya Cosad(COSAD CLINIC) yenye ubora wa vifaa vya kisasa na wataalam waliobobea katika nyanja ya afya chini ya  Dr Jessica Baitan.

 Ni uwanja wa ndege wa Bukoba Mapokezi ya Waziri wa Maliasili na Utalii.wa tatu kulia ni Mwakirishi wa Balozi wa Marekani Bw  Vinny Spera.
 Mh Nyalandu akiwa na meneja wa uwanja wa Bukoba akimkaribisha
 Bw Smart akimpa ratiba waziri ya shughuri nzima


 Baba Askofu Bagonza akisalimiana na mwenyekiti wa Cosad Bukoba
 Waalikwa
 Mc wa shughuri nzima Bw Kimu akiendelea na utaratibu
 Kikundi cha ngoma kikitoa burudani
 Dr Jessica Baitan akiwa na Dr Pamera kutoka wizara ya afya
 ASKOFU Bagonza akifungua shughuri kwa sara
 Watu wakiwa kazini
 Mwenyekiti wa wasanii kanda ya ziwa Anitha Zihimbile
 Kikundi cha ngoma kutoka Ngara
 Mchungaji Ben Swanson kutoka Marekani akitoa neno.

 Ni vijana wanne ndugu wa baba mmoja na mama mmoja na mwenzao mmoja wenye kipaji na sauti za kuimba bila kutumia ara za muziki.



 Tumetoka mbali mh dah...... unakumbuka hizi zile kule shule.duh acha mungu aitwe munguuu
 Waziri wa maliasili na utalii Lazaro Nyalandu akitoa neno,ametoa wito kwa watanzani wanaohishi nje ya nchi kuwa wazalendo na waige alichokifanya Smart Baitan kuleta maendeleo Nyumbani.
 Pamoja na kutoa huduma ya kubeba wagojwa katika jimbo la Balozi Kagasheki , na majimbo mengine Balozi kagasheki kwa kutambua mchango mkubwa uliotolewa na Cosad amesema Gari hili litakuwa likitoa huduma pia katika zahanati ya Cosad na ametoa nyumba kwa ajiri ya wataalamu mbalimbali watakokuja kusaidia wagonjwa kuishi bure.


 Ukikatwa utepe
 Uzinduzi rasmi wa zahanati ya COSAD
 Dr Jessica akitoa maelezo




 Kamanda wa polisi Mkoa Kagera Mwaibambe
Katikati ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba akiteta na Bw Ssmart Baitan uwanja wa ndege,Jamcobukoba.blogspot inatoa pongezi za dhati kwa uongozi mzima wa COSAD kwa kufanikisha kwa kiasi kikubwa uzinduzi wa miradi.