Ni Bi Neema Mwesiga akionekana mwenye furaha na tabasamu, Ni siku ambayo hatoisahau katika maisha yake, Wazazi, ndugu, jamaa na marafiki kutoka pande tofauti walikusanyika kwa mamia nyumbani kwa marehemu Kamanda Josiah Mwesiga wa kijiji cha Mishenye Butelankuzi Bukoba vijijini kushuhudia akiagwa rasmi kabla ya kufunga pingu za maisha na mwenza wake , hakika ilikuwa ni bonge la sherehe iliyosheheni burudani, mpangililio na mipango ya uhakika.Hongera Bi Neema.
Mama mzazi wa Neema akiingia ukumbini kwa furaha.
Wanafamilia.
Mama mdogo wa Neema.
Shangazi wa Neema
Wageni kutoka Moshi wakiingia ukumbini (wakwe)
Mshenga.
Kundi la kibeta one wakiingia ukumbini.
Matroni akiingia ukumbini.
Bi Neema akiingia ukumbini , akisindikizwa na wimbo Tumetoka mbali, hisia zikiwa zimetawala, hakika anakumbuka mengi Neema.
Nazidi kukupa pozz ya Neema.
Wakwe full shangwe.
Mwanamke tabasamu.
Mwenyekiti akafungua sherehe kwa staili yake, kizungu kikatawala,sipati picha mhaya na mchaga utapenda.
Akamtafuta ampendae na aliemchagua.
Omutima gwangeee
Ikakatwa keki.
Wakalishana.
Tutaendelea kuwaletea matukio mengine.