Sunday 4 December 2016

MAHAFALI KIDATO CHA NNE NA DARASA LA SABA 2016 KEMIBOS YAFANA.

Ni sherehe ya mahali ya kidato cha nne na darasa la saba KEMIBOS 2016 mgeni rasmi katika picha wa pili kutoka kulia , mkuu wa wilaya Bukoba akiwa katika chumba cha maabara.
kwa mwendo wa kazi mbele tembeaaa

Wahitimu darasa la saba.
wa pili kushoto ni Mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Bukoba akiwa na bodi ya shule ya kemibos, wakishuhudia gwaride rasmi la wanafunzi lililoandaliwa kwa ajili ya wahitimu kidato cha nne na darasa la
Wanafunzi wakionyesha umaili wao katika kucheza ngoma ya kiganda Embutu.
Matukio ya kichukuliwa.

Wakiingia kwenye chumba cha maabara.
Wataalamu wa umeme.
Chumba cha maabara.
Kulia ni mh diwani kata ya Ijuganyondo Almasoud Kalumuna Kamala akiwa na diwani wa kata ya Rwamishenye Mh Sued Kagasheki.
Kulia ni mkurugenzi wa shule Bw Kareju akiwa na mkewe.
Mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Bukoba akikata keki.
Meneja wa shule Bw Katiti akitoa maelezo.


No comments:

Post a Comment