Saturday 10 December 2016

MACHINGA BUKOBA WAZUA TAFRANI,BAADA YA RAIS KUTAMKA WARUDI KWENYE MAENEO YA ZAMANI


 Kufuatia kauli ya rais Pombe John Magufuli iliyoitoa ya kuwataka viongozi Mkoa wa Mwanza kuwarudisha machinga katika maeneo ya mjini, Bukoba imepokelewa kwa uelewa tofauti na kusababisha tafrani kubwa kati ya wamachinga na viongozi ,Wamachinga wa Manispaa yua Bukoba tayari walishapatiwa eneo la kufanyia biashara zao  eneo la Machinjioni barabara ya Kashozi, lakini baadas ya tsmko hilo wangine tayari wamerudi katika maeneo ya katikati ya mji ambayo walitolewa mwanzoni, Miongoni mwao wapo wanaounga hoja ya kuendelea kukaa katika eneo walilopewa wakiiomba serikali iwawekee miundo mbinu kama Umeme, uzio, maji , vyoo nk,wakati huu wapo wanaosema eneo walilopewa lipo nje ya mji , hakuna biashara hivyo warudi katika maeneo ya mjini.
 Mmoja wa machinga akivunja banda lake ili arudi maeneo ya mjini.
 Mwanamama akifanya mahojiano na ITV.
 Mkuu wa wilaya ya Bukoba akifanya kikao na viongozi wa machinga , na maafisa ya serikali.

No comments:

Post a Comment