Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati
ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350,
kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric
Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye
Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti
Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo
lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei
10, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na
Mazingira, Abdulkarim Shah. Picha na Sufianimafoto.com
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akionyesha funguo ya moja
kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni
350, baada ya kupokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi
Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi (kulia) wakati wa hafla ya
makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro
wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji
dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt
Bilal, jana limemalizika leo Mei 10, 2014.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti
wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akijaribu kuwasha moja kati
ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350,
baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori
Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo
iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano
la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo.
Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana
limemalizika leo Mei 10, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya
Ardhi, Maliasili na Mazingira, Abdulkarim Shah.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akishuka kwenye moja kati ya
magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350,
baada ya kulijaribu alipokabidhiwa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi
Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano
hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa
Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya
Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana
limemalizika leo Mei 10, 2014.
Picha ya pamoja baada ya makabidhiano hayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akisainiana mkataba wa makabidhiano wa magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, na Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi (wa
pili kushoto) wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo
kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya
kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo
lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo Mei
10, 2014. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhri, Job Ndugai (kulia)
ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud Mgimwa.
Wakibadilishana mkataba huo baada ya kutiliana saini. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri, Job Ndugai.
Mwenyekiti
wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, akichangia mada wakati wa Kongamano
hilo, lililomalizika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar
es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na
kukomesha mauaji dhidi ya Tembo, wakiwa katika Kongamano hilo,
lililomalizika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar Es
salaam.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na
kukomesha mauaji dhidi ya Tembo, wakiwa katika Kongamano hilo,
lililomalizika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro, jijini Dar Es
salaam.