Sunday 4 May 2014

SHEREHE YA KUWAPONGEZA MOHAMED SALUMU NA BILQIS YAFANA KAMACHUMU

 Sherehe ya kuwapongeza maharusi Mohamed na Bilqis waliofunga ndoa huko Daes salaam 24-4-2014 imefanyika Nyumbani  kwa Bw Salumu Mawingu Kamachumu Muleba, hakika watu kutoka maeneo mbalimbali walifika kuwapongeza.
 Bw Majid Kichwabuta na Bw Optat wakifuatilia mipango yote ya maandalizi  wanakamati
 Baba mzazi wa bwana harusi B w Salumu Mawingu (KULIA)

 Mc wa shughuli nzima
 Umati mkubwa wa wageni waliofika kamachumu
 Wageni wakipata chakula
 Bw Salumu akiwa na mama  yake mzazi
 Shekhe Haruna Kichwabuta akiwasili akiwa na Majid Kichwabuta
 Watoto wa Kaswida
 Shekhe Mustafa Sadick akiwa na  Shekhe Kichwabuta
 Bw na Bi harusi wakiwasili
 Bi harusi
 Balozi Kagasheki akiteta na mmoja wa mashekhe walioudhuria
 Mzee Galiatano
 b
 Bw salumu akiwa na Bw salehe kutoka oman

 Shekhe Kchwabuta akicheza dufu


 Ongereni sana mumgu awabariki katika maisha mapya ya ndoa

No comments:

Post a Comment