Bi Leonida Muhazi mjumbe wa bodi kcu
Mzee Baruti mjumbe wa bodi kcu
Makamu mwenyekiti wa bodi kcu
Mhasibu mkuu kcu
Bw Festo Meneja masoko kcu
Bw Mbeikya Speratus mhasibu mkuu msaidizi kcu
Bw Mutayabarwa
Bw Kanjagaire
Bw Rugumila
Bw Rwangobe
Bw Brandes Meneja wa Bukoba Coop Hotel
Mgeni rasmi Bw Ernest Mwakibisa kutoka wizara ya Kilimo, chakula na ushirika makao makuu Dodoma akitoa hutuba ya ufunguzi wa mkutano
Bw Nkwama Mwenyekiti wa CCM Bukoba Vijijini
Umakini mkubwa
Wafanyakazi Kcu
Wanahabari wakicheka na camera
Bi Theonestina mwandishi wa habari katika pozz
Wana habari
Mwenyekiti wa bodi ya kcu akisoma taarifa yake na mapendekezo ya makisio ya mwaka 2014/2015
Ni mjumbe aichangia hotuba ya Mwnyekiti swala la mmoja wa wajumbe aliefukuzwa kwanye mkutano mkuu wa mwaka jana Archard Felician Muandiki kutoka chama cha msingi Kamachumu akitaka kuushawishi mkutano mkuu waadhimie kumchukulia hatua za kisheria kwa kutumia vyombo vya habari kuwatukana wajumbe wa mkutano mkuu, kuwadhalilisha kwa kuwaita Masikini, wana njaa na wote ni Mbwa. Mjumbe huyu alitaka apate mwongozo nini kifanyike ili wamchukulie hatua, Baada ya mjadala mrefu wajumbe walibaki na msimamo wao kuwa hawamtaki katika ushirika wao.
Meneja wa Tanica na Meneja wa Bukop wakifuatilia Mkutano
Mmoja ya wajumbe akichangiaMEN
Huyu ni mjumbe kutoka chama cha msingi Magata akiueleza mkutano mkuu wa Kcu jinsi kikundi cha watu wachache wanavyovuruga chama chao,Ameiomba serikali kuchukua hatua za haraka kabla mambo hayajaleta madhara huko Muleba Magata
Mhasibu mkuu wa Kcu akisoma makisio
Wanahabari
Mrajis msaidizi Mkoa wa kagera Bw Shoros Rwenkiko akielezea swala la chama cha msingi Magata kinachotaka kujitenga na Kcu kuwa ni lazima taratibu na sheria za ushirika zifuatwe na si vinginevyo
Makao makuu ya chama kikuu cha ushirika mkoa wa kagera Kcu
Mwandishi wa Star Tv akifuatilia kwa makini mkutano
Secretalieti
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kcu
Ni mambo ya Mkutano
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Zippola Pangani akichangia katika hotuba ya mwenyekiti kipengere cha kesi zilizoko mahakamani za Kcu, alishauri kuondoa kesi hiyo na kukaa mezani kwa majadiliano na kumaliza kesi nje ya Mahakama
Mjumbe wa Mkutano mkuu wa Kcu Bw Tadeus Buberwa akichangia mawazo yake
No comments:
Post a Comment