Thursday, 12 May 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI KAGUTA MUSEVENI NCHINI UGANDA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni jijini Kampala mara baada ya kumalizika kwa sherehe za uapisho wa Rais Museveni.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni jijini Kampala mara baada ya kumaliza mazungumzo yao nchini Uganda.


WABUNGE WENGI WAIBARIKI BAJETI WIZARA YA AFYA



 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akihitimisha majumuisho ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma usiku huu.
 Waziri Ummy Mwalim akipanga vizuri nyaraka tayari kuhitimisha majadiliano ya makadirio ya bajeti ya wizara hiyo.
 Viongozi wa wizara hiyo wakifuatilia majadiliano ya wabunge kuhusu bajeti hiyo.
 Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Hamis Kigwangallah akijibu moja ya hoja za wabunge.
 Mbunge wa Viti Maalum, Sophia Mwakagenda (Chadema), Mkoa wa Mbeya, akichangia hoja wakati wa makadilio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliyopitishwa bungeni Dodoma
 Naibu Waziri wa Afya, Hamisi Kigwangala akisalimiana na wanafunzi wanaosomea utabibu katika Chuo Kikuu cha Dodoma waliozuru bunge mjini Dodoma

 Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo akichangia wakati wa majadiliano ya Bajeti ya wizara hiyo
 Mbunge akiingia bungeni Dodoma leo
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) akijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), kushoto, pamoja na Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Anthony Komu (Chadema), walipokuwa wakiingia bungeni Dodoma
 Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga akitaniana na wanahabari (hawapo pichani) alipokuwa akiingia bungeni Dodoma. Kulia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Ali Mwinyi.
 Wabunge wakiingia bungeni Dodoma

 Mbunge wa Segerea, akiichangia hoja wakati wa wizara ya Afya. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum,  Bupe Mwakang'ata.
 Mbunge wa Donge, Sadifa (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia). Kushoto ni Mnadhimu Mkuu wa Bunge wa Serikali, Jenista Mhagama.

 Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina (wa pili kulia) akizungumza na wawakilishi wa wafugaji wa mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi waliofika bungeni Dodoma, kukutana na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba kujadiliana jinsi ya kutatua tatizo la malisho.

RAIS DKT. MAGUFULI AHUDHURIA SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI KATIKA VIWANJA VYA KOLOLO JIJINI KAMPALA .



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassani Mwinyi kwenye viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda. Rais Mstaafu Mwinyi alihudhuria pia sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni.



. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda. Rais Mstaafu Kikwete pia alihudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa mataifa mbalimbali katika viwanja vya Kololo jijini Kampala.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa mataifa mbalimbali katika viwanja vya Kololo jijini Kampala.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Kololo jijini Kampala.


Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili kwenye viwanja hivyo

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili kwenye viwanja hivyo

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili kwenye viwanja hivyo



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo kwa furaha na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuapishwa kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda.

Tuesday, 10 May 2016

MWENYEKITI WA CCM, RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AKAGUA DARAJA LA NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.


 Mweneyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya awali na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipowasili kukagua daraja lla Nyerere, leo Mei 10, 2016. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili kukagua daraja la Nyerere, Dar es Salaam, leo
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Joseph Nyamhanga, akimpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipowasili kukagua daraja la Nyerere, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na viongozi mbalimbali waliompokea, kabla ya kukagua daraja la Nyerere, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitazama barabara zinazopishana ya chini na ya juu mwanzoni mwa daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo, leo
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitazama barabara zinazopishana ya chini na ya juu mwanzoni mwa daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo, leo
 Msafara wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ukipita kwenye daraja la Nyerere kwenda Kigamboni, alipokagua daraja hilo leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu jakaya Kikwete akiangaza mandhari ya darala la Nyerere alipokagua daraja hilo leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimuuliza jambo,  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Joseph Nyamhanga (kulia), wakati akikagua daraja la Nyerere leo Kulia kwake ni Mama Salma Kikwete 
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu kwenye daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama salma Kikwete wakitembea kwenye daraja hilo leo. ushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipita eneo ambalo magari yatakuwa yakilipia ushuri, alipokagua daraja la Nyerere, leo 
 Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitazama moja ya  ofisi zitakazotumiwa na magari kulipia ushuru wa kutumia daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo leo Mei 10, 2016
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Ofisa Uhusiano wa NSSF, Kiamba Rajabu, alipokagua daraja la Nyerere, Dar es Salaam, leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa Mipango na Ujenzi wa NSSF, Yakub Kidula,  kuhusu eneo la magari kulipia ushuru alipokuwa akikagua daraja la Nyerere leo. Kushoto ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka
  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na akipatiwa maelezo na Mkurugenzi wa Mipango na Ujenzi wa NSSF, Yakub Kidula,  kuhusu eneo la magari kulipia ushuru alipokuwa akikagua daraja la Nyerere leo. Kulia ni Mama Salma Kikwete
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipanda ngazi kwenda kwenye ofisi za Utawala unaosimamia utoaji huduma za daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo leo
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama salma Kikwete wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yanatolewa na uongozi unaosimamia huduma za daraja la Nyerere baada ya kukagua daraja hilo leo
 Dajala hilo la Nyerere na barabara zake linavyoonekama
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama salma Kikwete wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yanatolewa na uongozi unaosimamia huduma za daraja la Nyerere baada ya kukagua daraja hilo leo. Kushoto kwa Jkk ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Joseph Nyamhanga
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akitoa maneno ya shukurani kabla ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu jakaya Kikwete kuondoka baada ya kukagua Daraja la Nyerere leo. Daraja hilo ambalo lilianza kujengwa wakati Kikwete anamalizia awamu ya mwisho ya uongozi wake wa Urais, limefunguliwa hivi karibuni na Rais wa awamu ya tano Dk. John Magufuli baada ya kukamilika.