Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye Uwanja wa Kololo jijini Kampala kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaji Ali Hassani Mwinyi kwenye
viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda. Rais Mstaafu Mwinyi alihudhuria pia
sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni.
. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete kwenye viwanja
vya Kololo jijini Kampala Uganda. Rais Mstaafu Kikwete pia alihudhuria sherehe
za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Uganda Yoweri Kaguta Museveni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na viongozi wa mataifa mbalimbali katika viwanja vya Kololo jijini
Kampala.

akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili kwenye
viwanja vya Kololo jijini Kampala.
Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwasili kwenye viwanja hivyo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo kwa furaha na Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuapishwa kwa Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda.
No comments:
Post a Comment