Saturday 26 April 2014

MAMIA WAMZIKA DATUS BUBERWA NYAMWIHURA KIJIJINI KWAO MBALE BUKOBA

 Mamia ya wakazi  wa Mbale, ndugu, jamaa na marafiki wameuaga mwili wa marehemu Datus na kumzika nyumbani kwao
 Ma Geretu akiomboleza
 Wageni wakipata chakula


 Mwili ukitolewa ndani
 Ibada ikiendelea
 Heshima za mwisho
B
 Bw Ruge na mkewe Atugonza
 Kaka wa marehemu Chichi akiwa na mkewe akieleza maisha ya marehemu na kushukuru watu wote walishiriki  kwa kila namna katika msiba wa Datus
 Jeneza likiwekwa kaburini
 Bw na Bi Chichi wakiweka shada la maua
 Safari ya mwisho ya marehemu Datus, pumzika kwa amani
 Mzee Ruangisa akiwa na mkewe Ma Geretu
 Wageni wakipata vinywaji
Bw Bushira akimliwaza na kumfariji Bw Chichi