Wauguzi
na Waganga wa Zahanati ya Bunge mjini Dodoma wakitoa msaada wa huduma
ya kwanza na kufanya maandalizi ya kumpeleka Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba Ziana Mohamed Haji katika Hospitali ya Mkoa wa Dodoma leo baada
ya kupata matatizo ya mshutuko.
Baadhi ya Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambapo pia ni Ndugu na Jamaa wa Mjumbe wa
Bunge hilo Ziana Mohamed Haji wakijadiliana na watendaji wa Bunge hilo
jinsi ya kumsaidia baada ya kupata matatizo ya mshutuko leo mjini
Dodoma.
Wajumbe

Baadhi
ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika Ukumbi wa
Mikutano kwa ajili ya kuendelea kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya
rasimu ya Katiba Mpya leo mjini Dodoma.
Baadhi
ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika Ukumbi wa
Mikutano kwa ajili ya kuendelea kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya
rasimu ya Katiba Mpya leo mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Esther Juma (kushoto) na Catherine Saruni
(kulia) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya mapumziko
ya kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba Mpya.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Saada Mkuya Salum akichangia maoni yake leo
mjini Dodoma kuhusu Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya.
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba Mizengo Pinda (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na
Watendaji wa Bunge na Wajumbe wenzake Nassoro Salim (kulia),Haji Omar
Heri(wa tatu kulia), Mohamed Aboud Mohamed(wa pili kushoto) , Dkt.
Tereza Huvisa(kushoto) na Katibu wa Bunge Maalum la Katiba Yahaya Hamis
Hamad(wa tatu kushoto) leo mjini Dodoma wakati wa mapumziko mafupi ya
kujadili Sura ya Kwanza na Sita ya rasimu ya Katiba mpya. Picha na Ofisi ya Bunge Maalum la Katiba
No comments:
Post a Comment