Wednesday 14 August 2013

KATIBU MWENEZI TAIFA NAPE MNAWIE AMETANGAZA MADIWANI 8 WA BUKOBA MANISPAA NI HALALI WAENDELEE NA SHUGHULI ZA UDIWANI WAO,ATENGUA MAAMUZI YA HALIMASHAURI KUU YA MKOA YA KUWAFUKUZA NA KUWAFUTIA NYADHIFA ZA UDIWANI

                                                 Diwani alexesandar ngalina kata buhembe na naibu meya
            diwani richard gaspar kata miembeni na mjumbe mkutano mkuu wa taifa ccm
                                                   diwani  dauda kalumuna kata ijuganyondo
                                             diwani samweli ruangisa  kata kitendaguro
                                                 diwani  deusdert mtakywa kata nyanga
                              diwani  yusuf ngaiza kata kashai na mwenyekiti ccm bukoba mjini
                                                     diwani robert katunzi kata hamugembe
    diwani murungi kichwabuta viti maalum na mjumbe baraza kuu taifa wanawake
                                                              ongereni sana jamani
                         ni furaha kwa wanachi wa manispaa ya bukoba baada ya nape kutangaza
                                                                 murungi akitabasamu
                                                                         ni furaha
 mjumbe wa alimashauri kuu taifa Abdul kagasheki akiwa na wananchi mbalimbali  wakifurahia kauli ya Nape
                                  ni shangwe wanachi wakishangilia kauli ya nape
                                                 ilikuwa ni pilika kila kona
 diwani viti maalumu  ccm murungi kichwabuta muda mfupi baada ya katibu mwenezi taifa kutengua maamuzi ya kufukuzwa kwa madiwani 8 wa ccm akiwa na diawani felician bigambo wa cuf
 diwani wa kata ya bakoba-cuf  feliciani bigambo  akipongeza utenguzi  wa maamuzi ya kuwafukuza madiwani wa ccm,amesema chama cha mapinduzi wananchi wangewashangaa kuona watetea haki za wananchi ndio wanaonekana  maadui na kukumbatia mafisadi,amesema kama madiwani wanafanya kazi kwa sheria na kanunu za vikao,hivyo watahakikisha haki za wananchi zinapatikana
mwenezi wa ccm bukoba mjini ramadhani kambuka akieleza kurizishwa na kauli ya nape kupitia vyombo vya habari
diwani wa kata ya bakoba felician bigambo cuf akiwaeleza wananchi  kuwa Nape amefanya jambo la msingikutengua maamuzi ya watu wachache wanaokumbatia mafisadi na kuwakatisha madiwani tamaa wanaodai haki ya wananchi wa bukoba mjini, amesema madiwani wanafanya kazi kwa taratibu na sheria na kanuni, hivyo watahakikisha haki inapatikana kwa kushirikiana na madiwani wa ccm wanaojari kero  na haki za wananchi waliowachagua nasi kikundi cha watu wachache wanaokumbatia mafisadi
Diwani wa kata ya kashai ambaye pia ni mwenyekiti wa wilaya bukoba mjini akipongezwa na wananchi muda mfupi baada ya maamuzi ya alimashauri kuu ya ya mkoa kutenguliwa

No comments:

Post a Comment