Sunday 11 August 2013

KAGASHEKI CUP -KASHAI ATINGA NUSU FAINALI AMPA KICHAPO KAGONDO ,KASHAI 3 KAGONDO 1,KUKUTANANA NA RWAMISHENYE

 Timu yenye washabiki wengi kuliko  kata zote manispaa ya bukoba  leo imeibuka kidedea baada ya kumfunga kagondo kwa goli tatu kwa moja katika hatua ya robo fainali katika mashindano ya kagasheki cup yanayoelekea  ukingoni, huku vigogo wawili bakoba na miembeni wakiwa wametolewa hatua ya robo fainali,na kuweka historia mpya katika mashindano haya.
                                                        mashabiki wa kashai wakishangilia

                                                 Edo leo ameonyesha uwezo mkubwa sana
 mchezaji hatari sana , ambae amecheza namba saba Edo maarufu kama  niyonzima ambae alifunga goli la pili na kutoa pasi za uhakika kwa magori yote mawili
 kashai(abanyaruganda )watakutana na Rwamishenye katika mchezo wa nusu fainali ya pili itakayochezwa 14-8-2013 na nusu fainalio ya kwanza itachezwa 13-8-2013 kati ya bilele na kitendaguro(makirikiri)
                                              endelea kufuatilia kagasheki cup hatua ya nusu fainali

No comments:

Post a Comment