Tuesday 13 August 2013

KAGASHEKI CUP 2013: NUSU FAINALI .....LIVE MATCH: BIELE FC 1 vs KITENDAGURO 0, SECOND HALF....

Timu zikisalimiana muda mfupi kabla ya mtanange kuanza
Timu zikisalimiana muda mfupi kabla ya mtanange kuanza hapa kwenye Uwanja wa Kaitaba
Picha ya pamoja Waamuzi wa mtanange huu na timu kapteini
Waamuzi wa mtanange huu kwenye picha ya Pamoja
Kikosi Cha Pamoja cha Timu ya Bilele

Kikosi Cha Pamoja cha Timu ya Kitendaguro pamoja na viongozi wao (kushoto)
Mchezaji wa timu ya Kitendaguro akitaka kumtoka mchezaji wa Bilele hapa...
Frii kiki kuelekea kwenye lango la timu ya Bilele
Majanga hapa mchezaji wa Bilele kaumia..na hapa anapata msaada wa haraka
Hatari kwenye lango la timu ya Kitendaguro
Mchezaji wa Bilele akisonga kwenda mbele ya lango la timu Kitendaguro
Shabiki wa timu ya Bilele akiwaamasisha mashabiki wenzake kuwapa sapoti wenzao uwanjani hapa.
Patashika hapa..mpira ukiwaacha wote ....




Diwani wa kitendaguro  mh samwel ruangisa na mama wakiwa wanaangalia mtanange wa timu yao ya Kitendaguro jioni hii

No comments:

Post a Comment