Friday 14 November 2014

MKUU WA MKOA MPYA WA KAGERA JOHN MONGELLA AWASILI LEO NA KUKABIDHIWA OFISI, AWATAKA WATENDAJI WOTE KUTAMBUA WAJIBU WAO KWA WANANCHI.

 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw John Mongella akisalimiana na vijana wa scout mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege leo Manispaa ya Bukoba.
 Kushoto ni Fr Ubati akiwa Mchungaji Bililiza wakati wa mapokezi.
 Kamanda wa Uhamiaji Mkoa wa Kagera Bw George Kombe wakati waq mapokezi.
 Waandishi wa habari wakiwa uwanja wa ndege wakati wa mapokezi.
 Kulia ni Katibu tawala wa wilaya Bukoba Bw Ndyamukama,katikati  ni mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Kagera Mama Costansia Buhiye wakati wa mapokezi.
 Aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanal mstaafu Fabian Massawe akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw John Mongella uwanja wa ndege wa Bukoba  alipowasili leo.
 Karibu Mkuu....
 Kikundi cha ngoma Rugoloire kikitumbuiza.
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera akisaini kitabu cha wageni uwanja wa ndege.
 Katibu Tawala  Mkoa wa Kagera(RAS) Bw Nassoro Mnambira akieleza utaratibu wa Ratiba wa Makabidhiano ya ofisi.
 Katikati Mstahiki Meya Manispaa ya Bukoba Mh Ngalinda.
 Kamati ya ulinzi Mkoa wa Kagera.
 Wakuu wa Wilaya.
 Watendaji mbalimbali wa Serikali.
 Aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanal Mstaafu Fabian Massawe akitoa neno kabla ya kukabidhi rasmi ofisi.
 Makabidhiano ya ofisi yakafanyika.
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw John Mongella akitoa neno, amewataka watendaji wote walio serikalini na sekta mbalimbali kuhakikisha wanatimiza wajibu wao kwa kuwahudumia wananchi, kuondokana na urasimu unaokwamisha maendeleo ya wananchi.Amesema yeye si mpenzi wa mahotuba marefu anapenda kuona uwajibikaji.
 Mwenezi wa Mkoa wa Kagera Hamimu Kagezi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw John Mongella.
 Mwenezi wa ccm Mkoa wa Kagera  Hamimu Kangezi akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Karagwe.