Wednesday 26 August 2015

HUU NDIYO UZINDUZI NA UTAMBULISHO WAGOMBEA UKAWA MANISPAA BUKOBA



Ni katika uwanja wa Uhuru (Mayunga) manispaa ya Bukoba, ambapo mgombea ubunge kupitia
CHADEMA Wilfred Lwakatare, ametangaza ILANI kuwa wana mipango ya kuleta maendeleo, hivyo wananchi wawape nafasi ya kuchukua uongozi.

1 comment:

  1. Tenda haki kyoma,we ni mpiga picha mzuri inamaana ulipata hizo tu au unatumiwa

    ReplyDelete