Wednesday 26 August 2015

MAMIA WAMZIKA ENG. LAMBERT NDIWAITA KIJIJINI KWAO MARUKU RUIJA BUKOBA

 Hakika kama binadamu angeijua siku na saa ya kuondoka dunia angefanya kila awezavyo kuzuia kifo, Saa na muda ukifika hakuna kizuizi, hali hiyo huwaachia simanzi , machungu na masikitiko makubwa watu waliokuwa karibu na marehemu,Hali hii mnamo tarehe 20-08-2015 familia, ndugu , jamaa na marafiki wa marehemu Lambert Ndiwaita yaliwakuta baada ya mpendwa wao kuaga dunia huko nchini Nairobi na mwili wake kusafirishwa na kuletwa Bukoba.(Katika picha ni watatu kutoka kulia ni mjane wa marehemu Gracia Nestory akitoa heshima za mwisho kwa marehemu mume wake)

Wafanyakazi wa mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania walifika kumzika Mwenyekiti wa bodi


Wakati wa kutoa heshima ya mwisho kwa marehemu.

Kulia ni mama mzazi wa marehemu.
Watoto wa marehemu wakitoa heshima za mwisho.
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania akitoa salamu za rambirambi.
Neno la mwisho watoto wa marehemu kwa baba yao.
Mchungaji akiongoza ibada.

Kampuni maalumu  ya mazishi  iliyoshughulika mwanzo mwisho kutoka nchini uganda.
Inauma sana.


Bw na  Bi Benson Balyagti wakiweka shada la maua.
Hapa ndipo alipolala mzee Lambert Ndiwaita,hakika atakumbukwa daima katika mchango wake mkubwa wa kutumikia Taifa la Tanzani, familia na jamii kwa ujumla, pumzika kwa amani.

1 comment:

  1. Go in peace my mentor and friend. Till we meet again.... George Njao

    ReplyDelete